Recent content by Earn the one

  1. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Bufa mbu wa dengue pirate Kyaibumba Mabother naomba msaada wa mawazo yenu maana nimekuwa nawafatilia kwa mda mrefu hapa jamiiforum
  2. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Yes ni Moldova
  3. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    [emoji23]sawa mkuu
  4. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Kivipi mkuu
  5. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Kiongozi kuhusu kusajiliwa sina uhakika maana bado sijafika ofisini kwao Ila website wanayo japo haina maelezo mengi unaweka ukaipitia hapa https://xbasic-employment-and-labour-relations.business.site/?utm_source=gmb&utm_medium=referral Na Email yao sio hiyo ni hii...
  6. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Ngoja niende nikaone ila kuna mda ukikaa ukijiuliza haya mswali unaona kama ni kama kamchezo hivi. Sema ngoja ni try kuliko kukaa tu maana hali si nzuri kabisa mtaani.
  7. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Sawa kiongozi nimekuelewa na niko makini sana ndo maana nimekuja kuanzisha uzi hapa
  8. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Ndio wamenijibu tu niende ofisini kwao kwa maelezo zaidi nikifika huko naona nipata majibu ya haya maswali yote
  9. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Ndo nampango huo niende sema majukumu tu ila nitajitahidi niende
  10. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Naelewa hayo yote ndo maana nimekuja hapa kuomba msaada kwa yeyote anaijua hii kampuni
  11. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya XBasis Company Limited ni halali?

    Habari za uzima ndugu zangu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Dhumuni langu la kufungua uzi huu nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenyewe Kuifahamu hii kampuni inaitwa XBASIS COMPANY LIMITED maana mimi niliiyona kupitia instagram...
  12. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi ni vidonge gani?

    Empty here
  13. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    PROFESSION: DECLARATION OFFICERS EXPERIENCE: 1 year EDUCATION LEVEL: Diploma LOCATION: Ilala tabata, Dar
  14. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Pia niliwah kusikia mbegu ya parachichi ukiisaga then ukaianika ndani maana utakiwi kuanika juani ikishakauka vizuri, alafu ukairudia tena kuisaga ili iwe unga laini kabsa. Matumizi ni unachanganya huo unga na maji ya moto iwe ni kama chai yako asubuh na jioni ila bila kitafunio na uwe ujala...
  15. Earn the one

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Uzi mzuri sana huu inatibi niwe na notebook ili nijue naanza na ipi
Back
Top Bottom