Recent content by ealy little

  1. E

    Mikopo ya halmashauri

    Nimeanza kufuatilia hapa kata ,inabidi tuwe kumi na tutayarishe katiba yetu ,then kikundi kisajiliwe halmashaur watembelee biashara then labda process za pesa ndo zije.Sijajuwa kama kuna 'kalenda' ukishakamilisha mipango au vipi
  2. E

    MKOPO WA KIKUNDI EQUITY BANK

    Habar wakuu ,me ni mjasiriamali nilihitaji mwenye kujuwa kuhusu bank ya equity kuhusu mikopo ya vikundi wanayotoa naskia wako vizuri na hawana usumbufu ,,mwenye kuwajuwa vizur naomba mrejesho Cc@equity bank
  3. E

    Mahakama yaruhusu wananchi kuhudhuria na vyombo vya habari kuripoti kesi ya UAMSHO

    Inauma Sana ,, nahic tatz s kuwa ni waislamu Ila kutokubaliana na serikali iwe n muislamu au sio ,,wapo wapinzani wameuwawa ,wametekwa na wamekuwa vilema
  4. E

    Mahakama yaruhusu wananchi kuhudhuria na vyombo vya habari kuripoti kesi ya UAMSHO

    Sure Sana Sana ,,na hao wanaoachiwa ni wachache ,Arusha wapo zaidi ya Mia gerezani mwaka wa tano sasa ,ila hapa kwakuwa uchaguz umekaribia basi wanatafuta Kiki
  5. E

    Mikopo ya halmashauri

    Sawa mkuu ntaenda nlitaman nipate mtu aliewah pata ili nijue inachukua mda gan maana wengi wanakatisha tamaa kuwa inachukua muda mrefu na ngumu kupata
  6. E

    Mikopo ya halmashauri

    Habar za kazi wakuu ..naomba kujuzwa taratibu za kupata mkopo wa halmashauri kwa vijana ...Sisi tayr tuna biashara ya kuni na mwenzangu ila naskia mpk mtimie watano ...Tax identification number na lesen ya biashara vipo Kwa waliowah pata au fuatilia naomba tujuzane
  7. E

    Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Me nliupenda ualimu toka moyon yn kila nlipokua nkiingia darasani ht kama Niko na stress bs zte zilipotea ...kushika chaki ..kufundsha somo nnalolipenda ..wanafunzi wangu kufaulu na sifa nlizozipata na heshima kwangu vilinijaza furaha Sana ..ila ilibd niache kaz baada ya miaka miwili jp nlilipwa...
  8. E

    Nimeshuhudia moto Mkubwa uliotokana na jiko la gesi leo.

    Hivi huwa yanaweza Tu kulipuka yenyewe ht km umelizima
Back
Top Bottom