Recent content by Eagle J

  1. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Hiko cha mwisho mwandishi ni nani?
  2. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Mzee JBourne59 unaweza saidia kwenye huu uzi tupate vitabu vya kujua nywila
  3. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  4. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Mkuu huyu wa kwako hana rafiki yake tufanye namna?
  5. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

    Mleta mada, jikubali na umbo lako ulivyo wapo tunaopenda wasio na makalio makubwa na wapo tunaopenda makalio makubwa... kama waswahili wanavyosema "wewe wasema cha nini wengine wanasema nitakipata lini" cha umuhimu kila mtu na starehe yake na anafurahia
  6. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

    Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu. Je ni kweli mna tabia hizi
  7. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

    Nina imani kila binadamu ana kitu pendwa chake, waopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi na wasiopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi, si vyema kukashifu pande hizi (bikra na wasio na bikra)...cha muhimu kila mmoja kafurahia tendo mkutanapo kwenye "game"...so don't feel...
  8. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliopewa tunda baada ya kutoa lifti tukutane hapa

    kuna kanuni moja tu...transport+food=SEX hii kanuni ndogo ila imeleta nderemo na vifijo
  9. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Hapa ndio msingi wa swali langu maana kuna wazee wawalikua wanaeleza hili jambo na nimeambiwa zamani hizo mzee anajua kabisa hii sio damu yangu ila ndio wanasema kitanda hakizai haramu analea mtoto na anampatia jina...ila mama mpaka anakufa hasemi yule mtoto ni wa nani
  10. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    unajaribu kukadiria umri wangu au nini...ok m late 30 kukusaidia...turudi kwenye content
  11. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Pole sana mkuu...Ahsante kwa fundisho
  12. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    unadhani kila mtu ni dogo kuwa na heshima...ungekaa kimya maana hujajua kwanini nauliza hili jambo
  13. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    experience is the best teacher, ndio kinachowabeba wanawake/wanaume walio enda umri...tatizo la wanawake wakubwa wengi ni kutengeneza haki miliki "anataka uwe chini yake" hapo ndio tofauti inapotokea Zaidi ni watu wazuri wanaku shape na mapambano ya dunia na kukufungua macho mambo ya...
  14. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae... Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
  15. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    mkuu malizia kisa chako kinaweza kuwa funzo
Back
Top Bottom