Recent content by E84

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Ufilipino
  2. E

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kanisa la England ametangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja

    Hata kama si askofu kitendo hiki nichukizo hata kwa sisi binadamu. Let us pray for the Mercy
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti ya Mwanausalama na Askari wa Upelelezi?

    Hhapo unapaswa tu utofautishe maneno intelligence na investigation. Literally ukisema intelligence ni ukusanyaji wa taarifa mbalimbali kupitia sources tofauti na kuzifanyia analysis then unazipeleka kwa watu husika. Hivyo intelligence si lazima uwe na specific goal ...investigation inakua ni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni nani msemaji wa serikali

    Nimekua nikifuatilia shughuli nyingi za kkiserikali na kuona kila taasisi ina msemaji wake. Je pale linapokuja suala la kitaifa ambalo si la taasisi mahususi ni nani anayekuwa msemaji wake? Je ni waziri wa habari, katibu mkuu kiongozi au mkurugenzi wa habari maelezo?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyetuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi auawa na wananchi

    Mob justice mpaka lini? o_O
  6. E

    JamiiForums Tanzania Alikotokea Nabii Frank Julius Kilawah wa Shilo Ministries

    Siku hizi kuna manabii na mitume.... hizi title wanajipa au wanapewa na nani?
Back
Top Bottom