Recent content by E-smart

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana kaka hujanikosea chochote it's your opinion boss.Though sidhani kama kuna mtu asiye na kazi na anayethink rationally akaona bora akae bila kazi kuliko kuomba kazi kwenye taasisi ambazo zinalipa vizuri, akisubiri mpaka taasisi zinazolipa vizuri zaidi zitangaze ndo aombe kazi tena kazi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu jobless Huwa hatuchagui kazi sisi tukiqualify tu tunaomba issue za location hizo ni mambo za baadaye.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂😂😂 Dahh! Jamaa wanawaza kazi na njunju dahh
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Sawa boss, Shukrani
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Hivi wadau kwani inawezekana, ukakata ticket gari ya kutoka DAR kwenda MUSOMA, halafu ukaisubiria itoke Dar Ili uje kuipanda ikifika Morogoro ? Maana wengine kusafiri comfortably inabidi upate seat namba mbili, tukipanda za mbali bhas ni full kizungu zungu na kutapika njiani. So hiyo huduma...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂😂😂😂 mkuu inaonekana unapenda sana njunju. SEMA fresh nmekupata fresh ngoja tukapambane.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sawa mdau,ngoja nikajionee mkuu, but thanks for the advice maana nlikuwa nawaza sana boss.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂😂😂😂 Sawa boss
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna mwana kanichana kuwa ni alikuwa huko miaka Fulani na ni bush kimtindo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sijui, ila nnachofahamu mimi, salary na allowances vitanona boss wangu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂😂😂😂 Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    WADAU NINGEPENDA NITOE SHUKRANI KWA WOTE MLIOJITOKEZA KUNIELEKEZA MAWAZO YENU WOTE YAKO HELPFUL KWANGU. NASHUKURU SANA🙏
  13. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Yeah nimeona boss ameelezea short and clear pia anaonekana anayefahamu vizuri hayo maeneo nimeelewa fresh now
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Asante sana mkuu, shukrani sana
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yeah, ni kweli boss unayoyasema SEMA tu Taasisi nyingine huwezi omba uhamissho maana ofisi zipo sehemu Moja tu so option ni Moja TU ya kuhama, na ingekuwa otherwise huenda nsingewaza Hivi, Pia kuwa kwenye system is cool ila kupata mazingira mazuri ya kufanyika kazi ni coolest zaidi ndo maana...
Back
Top Bottom