Ikiwa umri bado unaruhusu.
Tafuta mwanamke mwingine uzaenae.
Huyo mtoto na hiyo familia achana nao, watakuvuruga utajikuta huna mbele Wala nyuma na umezeeka.
Focus Yako kwa sasa inatakiwa iwe kwenye kutafuta hela, zitafute kwa nguvu, fanya mazoezi ili uweke mwili safi.
Na katika kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.