Recent content by Dystopian Man

  1. Dystopian Man

    Bachelor of science in Interior Design

    Nilitamani kupata mawazo ya watu kuhusiana na kozi ya Interior design katika soko la ajira na hata kujiajiri, Yeyote mwenye top ideas kuhusiana na hii kozi
  2. Dystopian Man

    IQ training quiz

    GENIUS ONLY You need to transfer four metal weights to the other side of the river: 1kg, 2kg, 3kg, and 4kg. Rules: 1- Raft can carry a maximum of two metal weights. 2- The difference in total loaded weight between two successive transfers should not be greater than 1 kg. How can you...
  3. Dystopian Man

    IQ training quiz

    Three robbers have just robbed a bank. To escape, they need to cross a river. The first robber stole $3,000, the second stole $5,000, and the third stole $8,000. Rules: 1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag. 2) No robber can be left alone with a bag worth more than...
  4. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Kwa taarifa nilizokua nazo chuoni kwetu mtu alomaliza form six degree n miaka 4 lakini kwa alosoma diploma n miaka 3...nilisikia fununu kuwa utaratibu utabadilika na woote kusoma miaka 4, lakini sina uhakika na taarifa ya pili ngoja nitafatilia..
  5. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Naomba unipe maelezo kuhusu TOEFL naipigia online.. Au inakuaje kuaje
  6. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Nitalifanyia kazi na kulifatilia ili LA kuhusu kuomba scholarship
  7. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Asante bro, kuhusu kutafuta scholarship kidogo umenifumbua macho
  8. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Lakini ukiachana na sababu za kiumri unazani nikijipa muda kabla ya kuendelea kutakua na athari yoyote..?
  9. Dystopian Man

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Asante kwa ushauri mimi binafsi ninasomea mambo ya uinjinia wa maji natamani kama ni kusoma degree nichukue kozi Tofaut kabisa na mambo ya maji (civil, au architecture) Nahitaji kufahamu unafuu utakua wapi kati ya kuunganisha au kijipa muda..!? NB: age factor (20-23) kwa ngazi ya diploma
Back
Top Bottom