Recent content by Dynno22

  1. Dynno22

    Tujadili huu mpango biashara (business plan) wa kuku wa kienyeji

    Mapungufu hapo huja consider risk kama vifoo umepigia hesabu vifaranga vyote.
  2. Dynno22

    Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Siku zote sisi tunaangalia bei ila hatuangalii quality na pia tuna save kiasi gani. Mfano Unapo tumia generator/pump ya mafuta tunaangalia tu bei ya kununulia ambayo kweli ni rahisi tunasahahu bei za kuendesha ile generator/pump kama vile mafuta ya kila siku, gharama za matengenezo, uchafuzi wa...
  3. Dynno22

    Submersible Solar Pumps

    www.simusolar.com
  4. Dynno22

    Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Kwakuwa tunatoa mfumo mzima wa pump kuanzia pump mpaka mipira ...bei haziko standard kwa sababu pia inategemea na majibu ya survey ya kisima chako, kiasi cha maji unacho hitaji, aina ya umwagiliaji, zao pia na ukubwa wa shamba.
  5. Dynno22

    Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao. Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima...
Back
Top Bottom