Recent content by dynnalovee

  1. dynnalovee

    African black Castor oil

    Harufu Yake ipo karanga sasa sijaona kama hilo ndo litakuwa kwanzo kwa kuyatumia. Maana tunauza kwa watu wengi na wanayatumia Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dynnalovee

    African black Castor oil

    Mbona contact zipo 0653177212 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dynnalovee

    African black Castor oil

    Ndogo ml 250 kubwa 750 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. dynnalovee

    African black Castor oil

    8000 chupa ndogo 15000 chupa ndogo. Yaani Haya mafuta ni natural kabisa hayana mchanganyiko wa kitu chochote karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dynnalovee

    African black Castor oil

    *FAIDA ZA AFRICAN BLACK CASTOR OIL* hujaza nywele hurefusha nywele huzuia nywele kukatika huondoa mba kulainisha nywele kufanywa nywele kuwa nzito kuotesha kipara kurefusha kope na nyusi kulainisha lips huondoa michirizi naboulainisha ngoz ya mwili huondoa makovu mwilin kuimarisha kucha Hakika...
  6. dynnalovee

    Msaada natafuta kazi.

    Asanten kwa kunisaidia kumjibu manake nilikosa hata nimjibuje ikabidi ninyamaze tuuu
  7. dynnalovee

    Msaada natafuta kazi.

    Asante kwa ushauri wako mkuu
  8. dynnalovee

    Msaada natafuta kazi.

    Asante kufundisha naweza kingereza na kiswahili, kufanya kazi stationary maana najua kutumia kompyuta, pia hata nikipata secretary ntashukuru. Inaumiza sana unapomaliza chuo afu unakaa nyumbani ukiwa kama mtu mwenye kuhitaji kufanya mambo afu huna pa kuanzia. Kikubwa kazi hata ya kujitolea...
  9. dynnalovee

    Msaada natafuta kazi.

    Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya. Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa...
Back
Top Bottom