MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI UNACHEKI SURA NA MAMBO YAKE?
hawa ndio vijana wa kileo kawaoneni oneni pale Mnazi mmoja kwa Mkama wanavyojipitisha kwa MKAMA wakitafuta mapande ya Ukuu wa WILAYA.
Taarifa za fadhaha kama hizi kwa serkali yetu inakuwa kama ni donda ndugu maana WEZI WA EPA ndio wanoendesha uchumi wetu
muda ukifika watakoma tu.Wako wapi akina GADDAFI
Wamakonde kwa ubabe hadi kwenye mambo ya mungu kwa umri wake sasa ilihitaji apate faraja ya kulea wajukuu wake badala ya kujikita kwenye mabo yasiyokuwa na tija
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.