Recent content by Dwaynee

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo siyo lako peke yako

    Ni vyema ungeelezea ni program gani?, inafanyaje kazi?, ili mtu aelewe kabla ya kufanya maamuzi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Poa poa mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu kwahiyo tusibebe mizigo mingi si ndiyo?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Eeeh kaka nimebahatika
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nimeuliza sababu nilikua nadhani ni miezi 6/9
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Miezi 12? Dooh ni hatari
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi ya polisi huwa ni miezi mingapi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ashukuriwe mungu[emoji120][emoji120]
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Majina ya polisi yanatoka lini mwenye ronja
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

    Hii kweli aise nilifanya oral Tutorial assistant toka march mpaka leo hii kimya
  11. D

    JamiiForums Tanzania Production Supervisor or Quality Control looking for job or internship

    Umepiga POM mkuu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Production Supervisor or Quality Control looking for job or internship

    Shida inaanzia course structure haijakaa sawa maana inaleta shida tukae wapi engineering au management. Hili TCU inabidi walifatilie vinginevyo vijana wataendelea kuumia mitaani tu. Ni bora course ijulikane km PRODUCTION ENGINEERING na watambulike km engineers
  13. D

    JamiiForums Tanzania Production Supervisor or Quality Control looking for job or internship

    Kiukweli upataji wa Kazi kwa sisi tuliosoma POM imekua ni changamoto mnooo, maana ukisema usubiri ajira portal ni mpaka Tutorial assistant za POM (MZUMBE UNIVERSITY) tena kwa wenye GPA nzuri nje na hapo ni mtafutano wa private napo huko bila connection ni ngumu sana kupata kazi. All in all...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Nipo Mimi mkuu ni muaminifu sana
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ajira

    Oh okay unaweza nipa hata intro jinsi ya kuandika attractive message niweze Ku win attention ya decision makers [emoji120]
Back
Top Bottom