Recent content by Dvs230

  1. Dvs230

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Aachane nae bwana Acha akafie mbali hukooo maana huyo atakuwa hajarudi kwa kumpenda atakuwa kafata Mali tuu
  2. Dvs230

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tunajifunza nini kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa Ufaransa mwenye miaka 34?

    Exactly siku watanzania tukijifunza kuacha uchawa ndipo tutafikia malengo na kwa karne hii uchawa ndio umekuwa deal tunaacknoledge watu bila kuona walichokifanya
  3. Dvs230

    JamiiForums Tanzania Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume

    Tatizo sio wakili cha kwanza! Tatizo ni mwanamke na elimu aliyonayo haijamsadia kujua maana ya neno ubakaji! Light angelikuwa anajua anajua maana ya neno ubakaji asingekuwa anatakiwa maneno yasiyo staha mbele ya public kama hivyo
Back
Top Bottom