Recent content by Duxa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Kafyulila umenena! ninaunga mkono kauli yako. lakini ninaongeza pia kwamba kama mimi ningekuwa baraza kuu ningefanya maamuzi magumu ya kuwasamehe wote watatu lakini kwa kutoa onyo kali kwamba wamejifunza wasirudie jaribio lile na linalofanana nalo. wote waendelee kuwa wanachama wa kawaida adhabu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

    Hivi SUMAYE na Lowasa nani kafanya kazi nzuri? dadavua hapa kutushawishi nani bora
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kuzomewa kwa Zuma na Dr. Slaa huko Kigoma: Tunajifunza nini?

    Hasara kubwa which cannot be bailout easily
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuzomewa kwa Zuma na Dr. Slaa huko Kigoma: Tunajifunza nini?

    Ila hukumzungumzia Dr Slaa pamoja na kuwepo kwenye heading yako. Bila shaka kivuli chake kinakutisha. Kwa hakika unajua hakuzomewa ila wahuni waliotumwa na magamba walimwonyeshea bango linalomuunga mkono mamluki wenu zzk
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CHADEMA yetu bwana

    Acha jazba na ushabiki usio na maana wala faida. Hakuna anayekatazwa kugombea uongozi katika ngazi yoyote ndani ya CHADEMA. Kinacholeta shida ni kutokufuata taratibu zilizowekwa na chama na kwa muda mwafaka. Viongozi wenzako wanafanya kazi nzito ya kujenga chama wewe unapanga mbinu chafu na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    Mtoi yuko sawa ila ninyi wengine ndo mnashindwa kusoma na kuelewa vizuri alichosema. unapotaka kumpinga mwenzako hasa GT hakikisha unachukua muda wako kidogo kufikiri na kutafakari vinginevyo ni ushabiki usiotumia akili
  7. D

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Makene wewe ni noma na unatisha! Big up kamanda! Ni aina ya viongozi na wanaCDM tunaowataka. Keep it up man!
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    sijui kama leo zzk atapata usingizi, maskini
Back
Top Bottom