Recent content by Dunia Tabu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahtaj kufahamishwa

    Ingia ktk website yao ya www.ija.go.tz wameeleza sifa za anayetaka kujiunga na hicho chuo. ukiingia hapo download form
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kweli Mawakili Wapya Wa Serikali Na Wengine Kuanza Kazi Baada Ya Bajeti Mpya?

    mihuri wapi! hata kuapishwa hawajaapishwa. ikifika tarehe 16/3 watakuwa wanatimiza miezi 5 tokea wapewe barua za kuitwa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kweli Mawakili Wapya Wa Serikali Na Wengine Kuanza Kazi Baada Ya Bajeti Mpya?

    jambo linaloleta shaka ni kwa nini majibu wanayotoa hapo utawala yatofautiane na uhalisia. mfano Dogo alipoenda kuuliza alijibiwa karibu wataitwa. hata huyu aliyempa taarifa alipoenda pale alijibiwa hivyo hivyo "subiri muda si mrefu". alipotoka akakutana na mfanyakazi wa hapo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kweli Mawakili Wapya Wa Serikali Na Wengine Kuanza Kazi Baada Ya Bajeti Mpya?

    Ndugu wana JF Kwa masikitiko makubwa napenda kushare nanyi taarifa hiz ili kujua undani wake. Kuna mdogo wangu alipata ajira mwaka jana mwezi wa 10 ya kuwa State Attorney chin ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu. Baada ya kuripot na kuambiwa wataitwa kimya kimekuwa kingi. Mwezi januari 2015...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    Kwa waliokwenda kuulizia hivi karibun wanatoa majibu gani? mwez wa12 2014 walijib pesa yenu walifanyia mambo mengine
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    kama hawana pesa vp tena warecruit wengine? hizo pesa si zinatoka hazina, mbona wengine walioajiriwa baada wameanza kazi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baraza la usuluhishi la kata linaweza kutoa talaka?

    Kisheria hii tunaita ULTRA VIRES. hilo baraza limevuka mipaka yake kiutendaji. kama walivyoshauri wengine, cha msingi huyo mwanamke akafungue kesi mahakamani kupinga mahamuzi hayo ya baraza. mahakama itatupilia mbali maamuzi ya baraza kutoa talaka na kugawa mali na itaamuru hilo baraza litoe...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria unahitajika

    sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inaeleza kuhusu void marriage na voidable marriage. void marriage ni aina ya ndoa iliyofungwa ambayo haitambuliki kisheria kwa sababu wahusika (mwanamme na mwanamke) hawakuwa na vigezo vya kuoana . mfano kama mwanamke anandoa yake akiamua kuolewa tena hiyo ndoa ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    nimemaanisha, kwa kuwa sababu ya kutofungua kesi ilikuwa ndugu zako walikuwa wadogo. je, tokea wamefikisha utu uzima (miaka 18) ni muda gani umepita hadi leo hii. pia unaweza kufuata ushauri wa mdau hapo juu wa kumuandikia barua waziri wa sheria ili uweze kufungua kesi na hatimaye upate haki yako
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Kajaribu kuomba pale kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) maeneo ya sayansi-kijitonyama, huwa wanawasaidia watu kupata haki zao pale wanapojieleza vizuri
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    Tumezoea hivyo kwenye jamii zetu mtu akifa kaacha mali basi tunagawana bila ya kufungua mirathi mahakamani. kwa kuwa mambo wakati fulani huwa shwari basi tunaona kuwa ni sahihi, la hasha siyo sahihi kwa sababu umiliki wa zile mali bado unabakia kuwa ni wa marehemu na yeyote atayefungua kesi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    Ndugu yangu Anheuser, nikupongeze kwa changamoto uliyonipa,lkn iko hivi: Sheria za kiislam hauwezi kuziita ni sheria za nchi bali zenyewe zinabaki kuwa sheria za dini ya kiislam, isipokuwa zinatambuliwa na mamlaka. nikuulize kidogo, zipo sheria za nchi ya kenya, TZ,A.Kusin wanazo zao, marekani...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    tunaposema sheria za nchi tunamaanisha za kiserikali kwa sababu serikali ndiyo inayotawala nchi na sio dini. hivyo sheria za kiserikali ndiyo za nchi kwa kuwa hutumiwa na watu wote bila kujali dini ama mila zao, tofauti na za kidini huwahusu watu wa imani hiyo. kwa kukuongezea uelewa, sheria za...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    Fungulia mahakama ya mwanzo, Morogoro
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu mirathi

    OK, karibu sana!
Back
Top Bottom