Recent content by dungaembe

  1. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamtafuta Askofu Kakobe maana amekuwa akitoa maneno ya kashfa katika Mahubiri yake

    Naomba kujua mishahara ya mapoliCCM....pia kama inapandaga ama kuongezeka au hapa karbuni Kama imeongezeka maana naona wanachapa kazi ya kuwabeba wengne vibaya muno!??
  2. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Utumbo mtupu....nimekimbilia fasta kwenye komenti Siku zote alikuwa wap?? Kuchumia tumbo bhna unafanya mambo ya ajabu kwlikweli
  3. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Naangalia hapa sinema ya Yesu kwa jicho la kigreat thinker; nimeielewa tofauti kabisa leo

    Wasabato mko wapi mje mtoe ufafanuzi kuhusu uharamu wa sinema hii. Yasu yupo mbingun et HAITAKIWI kufananishwa na kiumbe wa kawaida recall from ten commands of God pale kutoka 20 kama sikosei...kitu kama amri ya pili ivi!!aaaahgaaah!!!sina uhakika maana kitambo aisee nimeshasahau.
  4. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makada wote wa CCM wanaomkashifu Askofu Zakaria Kakobe na maneno yake

    Unanielewa hata me nakuelewa sana mkuu.so TUNAELEWANA[emoji16]
  5. dungaembe

    JamiiForums Tanzania ASANTE DR SHIKA KUTUACHIA KA MSEMO KA "ITAPENDEZA"

    Kwani bado ajapokea hayo mabilioni mpka leo ??? Kweli itapendeza kama akizipata
  6. dungaembe

    JamiiForums Tanzania UHUSIANO KATI YA MUZIKI WA SINGELI NA WATOTO WA KIUME KUBINUA MAKALIO.

    Hahahha et kubinua makalio kama ngedere.....kazi kwelikweli
  7. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makada wote wa CCM wanaomkashifu Askofu Zakaria Kakobe na maneno yake

    Ukweli unaumaga sikuzote asikwambie mtu. Kuchumia tumbo kubaya sana jamn unaweza kuolewa et!!!
  8. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mti wa mlungulungu na mruturutu

    Bila shaka inatuhusu wanaume wa dar hii
  9. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli, ungecheka na Nyani ungevuna mabua

    Heko kwako unayeyaona matumizi ya maana ya hayo mapato.
  10. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Graveyard kinondoni Imejaa.

    Mwili hauna thamani mambo hayo bwana tuyaache tu.
  11. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli, ungecheka na Nyani ungevuna mabua

    Sawa mwalimu wa kiswahili
  12. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli, ungecheka na Nyani ungevuna mabua

    Kwa hyo wale waliokuwa upinzani kindakindaki Leo wanageuka na kuponda upinzani wameokotwa???? wakina tumbili Mzee Escrow!
  13. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli, ungecheka na Nyani ungevuna mabua

    Hapo nakubali ni kununua wapinzani,kutengeneza takwimu,kuinvest kwenye Nissan nyeupe,kuua democracy,kuadanganya watz na matumiz mengine mengi tyuh ya kukuza fisiemu
  14. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zina Jeuri, Waafrika hatuwezi hili la Tunisia!

    Wataandama wapandaji wa ndege!!!!
  15. dungaembe

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli, ungecheka na Nyani ungevuna mabua

    Mkuu uvungu wa kitanda gani ss
Back
Top Bottom