Recent content by Dundrus

  1. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    kutokana na unyeti wa tukio tunategemea umeripoti tukio la kweli hasa kwa ss tulio mbali na eneo la tukio sidhan km ni siku ya wajinga ukizingatia issue ya dar bado tuna machungu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Makamba: Mungu ataiadhibu CCM kwa rushwa na Ufisadi!

    amesha chukua chake mapema so anaona hana cha kupoteza ndo anaropoka tu
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RAGE atoa tamko zito

    sikuwahi kufikiria kwamba Rage anaweza kuwa kiongozi mzuri hasa ukizingatia mpira wa sasa unaongozwa kwa utaalam na si FITINA
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wazo la Ugomvi: Iundwe tume kuchunguza akili za viongozi wetu?

    tatizo sio ugonjwa wa akili ni kutokuwa committed and lack of uzalendo
Back
Top Bottom