Recent content by dumuzi

  1. D

    Uamuzi wa TFF kutafuta kampuni moja ya Betting kwa ajili ya Derby ya Kariakoo ni Uamuzi wa Ovyo sana

    This Hidden Binance Feature Earned Me $4,600 in 30 Days My Binance Mining Payout Hit $95,000 This Month – Here’s the Proof (Screenshots + Strategy) Binance Mining Paid My $4,200 Rent for an Entire Year Weiterleitungshinweis How to Make $1,000 Per Week Mining Crypto on Binance (No Experience...
  2. D

    Haki za Binadamu: Vitengo vya karakana ndani ya vituo vya polisi ni kwa kazi gani? Uchunguzi huru ufanyike

    Mkuu kwa lugha sahihi hizo ni toture chambers. Ni ajabu na aibu sana kwa nchi yetu kuwa na sehemu hizo. Idi Amin dada alishutumiwa sana, Tanzania ikiwemo kuwa alikuwa na vyumba vya kutesa watu kwenye vituo vyake vya usalama, yaani watu wanateswa kuliko enzi za Miungereza. Muda ufike sasa...
  3. D

    Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

    Mkuu kwanza jitoe ufahamu uwe kama zobi, halafu chagua kiongozi yeyote uwe chawa wake, hapo utakuwa na viegezo vyote vya kujiunga.
  4. D

    Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

    Mkuu wao sio wananchi? Mkuu achana na fikra za kipuuzi, kujiona wewe tu ndio mwananchi.
  5. D

    Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Mkuu umetoa ufafanuzi uliojitosheleza. Mtoa hoja huenda ana maslahi na kesi hii. Huenda ana ujamaa na huyo afande mtuhumiwa. Kwani hata akipelekwa mahakamani na kwa bahati akachoomoka, polisi watapata hasara gani. Huwa wanawambabikiza kesi viongozi wa upinzani kwa makesi ya kijinga ambayo huwa...
  6. D

    Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

    Mkuu mpendekeze awe mwenyekiti wa ccm uchaguzi ujao.
  7. D

    Kanali mstaafu wa JWTZ analipwa Pensheni 22,000/= na Jenerali analipwa 50,000/=

    Mkuu hebu fedha wanazo pata zilinganishe na wanazopata wanasisasa , wabunge mawaziri na wakuu wengine serekalini na viongozi wa ccm ni kufuru kubwa. mbunge baada ya miaka mitano analamba kiasi gani? na kila mwezi wanalamba mamilioni mangapi. Hii nchi wanao faidi ni viongozi wa serekali na...
  8. D

    Watanzania wangefanya makosa 2005 na kumchagua Mbowe kuwa Rais wa JMT bila shaka angebadili Katiba na kubakia madarakani hadi sasa!

    Mkuu huo Sasa ni uchizi tangu lini ushahidi ukatolewa na wafu. Huyo unaemuta dikteta ana zana zipi za kujiweka madarakani. Au nae anawekwa madarakani na vyombo vya dola vya ccm? Hivi kweli kama anakiweka madarakani kinyume na sheria za nchi vipi vyombo vya sheria vya serekali ya ccm vishindwe...
  9. D

    Watanzania wangefanya makosa 2005 na kumchagua Mbowe kuwa Rais wa JMT bila shaka angebadili Katiba na kubakia madarakani hadi sasa!

    Mkuu kwanini ccm mnamuogopa Mbowe? Toka lini Uongozi wa kwenye chama ukawekewa ukomo, Uongozi wa chama ni matakwa nauchaguzi wa wenye chama wanacham. Kwani mzeenyerer aliongoza kwa miaka mingapi? Mbona hamkupiga makelele? Uongozi wa nchi ndio unaowekewa ukomo kwa sababu ni rahisi kwa kiongozi...
  10. D

    Mwigulu: Licha ya Rais Samia kupokea nchi kwenye hali ngumu, ameweza kumwaga pesa nyingi kwenye miradi kushinda Awamu yoyote wa kabla yake

    Kumbe hapo awali pesa zetu zilikuwa zinaliwa? Mkuu uongozi wa serekali ulikuwa wa chama kipi. Chama hicho hicho wezi wa hizo pesa zetu wamo humo humo kwenye hicho chama. Ccm mbona hamueleweki. Wizi mfanye wenyewe, na kujisifu mjisifu wenyewe. Mkuu tueleze kama pesa ziliibiwa, walioziiba wangapi...
  11. D

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Life is a game - no strings attached dating is its rules Live Women
  12. D

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Mkuu umenikumbusha marehemu Mtikila aliwahi kusema waafrika wengi tuna ugonjwa wa Apedomia. Tuna unyani ndani yetu haujaondoka.
  13. D

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Mkuu hat America sijasikia, Dokta Washington, Dokta Bush wala Dokta Obama au Dokta Trump. Hata urusi hakuna Dokta Putin.Tanzania tunamaradhi ya ubongo nadhani.
  14. D

    Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

    Kwa taarifa yako baada ya shirika la ndege la afrika mashariki kufa ATC ilipoanzishwa ilinunuliwa ndege mpya aina ya B732 Nakumbuka mbili zilliku n a registration 5HMRK na 5HATC. Ambazo baada ya Nyerere kustafu ziliuzw kifisdi kw shirika la Afrika ya Kusini na Atc kutumia ndege za kukodi toka...
Back
Top Bottom