Tatizo ni wale akina " WHO ARE YOU?" Wanakitabua chama kimoja tu cha Chadema na wanamtabua kiongozi wa upinzani mmoja tu ambaye ni Lissu. Kuna mamillions ya akina who are you wa Europe yamezuiwa na moja ya mashariti ni wao kuzungumza na chadema
Huyu Mama amekuwa wa hovyo na kazungukwa na watu wa hovyo.Binafsi sasa nimeamini hii generation yetu elimu kubwa tuliopata ni tatizo.Hope Gen Z watakomboa hii nchi.
Holland ni majimbo mawili kati ya 12 ya majimbo yote ya Neitherland ....Wao ukiwauliza wanasema ni kwasababu ya utajiri mkubwa wa hayo majimbo mawili(Holland) na historia ya ufalme. Mfano mzuri ni sawa na England na United of Kindom kiswahili tunasema yote ni uingereza
Lazima ninunue Bunduki safari hiii...Nilikuwa nawalaumu Wamarekani sasa nimelewa umuhimu wa kuwa na Bunduki, wale wasenge kumamae zao walikuwa wanapita dirishani kwangu na kupiga risasi watu hovyo nikaishia kupiga picha na video kama mtoto mdogo...japo video nimeituma wa maria lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.