Recent content by Dumela la

  1. D

    Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

    Hivi Haya Maccm hayakujifunza Arumeru kwa Sioi? AMA kweli sikio la Kufa halisikii dawa. Maccm subirini mkong'oto mwingine jimbo la Karenga. Lazima mpate kipigo cha mbwa mwizi.
  2. D

    Halmashauri zilizo chini ya CHADEMA zinafanya vizuri katika kukusanya mapato, asema waziri wa kazi

    Mh. Waziri kabaka amezitaja halimashauri za Arusha na Mwanza Kuwa zinaongoza kwa Kuwa na makusanyo makubwa ya Mapato. Wananchi jioneeni wenyewe.
  3. D

    UCHAGUZI KATA YA SOMBETINI: Upigaji kura na Matokeo.

    Hongereni Makamanda wa Arusha kwa kuifanya vibaya CCm. Hapa kata ya KILELEMA jimbo la Manyovu Kigoma CDM imewabana ccm mpaka Mkuu wa Mkoa Col. Issa Machibya amehamia Kwenye Kata hiyo.
  4. D

    Uteuzi wa wajumbe wa bunge la katiba: Dodoma wampa tano jakaya.

    Msaada Kwenye Tuta tafadhali. Naomba mnisaidie kuangalia vizuri, hivi kundi maalumu la wajasiriamali limekumbukwa katika majina ya wajumbe wa Bunge la katiba? Kwa uelewa wangu ni kwamba Kundi la Wajasiriamali ni muhimu sana kwa vile wana mchango MKUBWA katika ukuaji wa uchumi wa Taifa letu.
  5. D

    Mh. Mbowe kupigana na Mh John Komba,inakuwa je?

    CCM kuna Mizigo ya aina nyingi. Angelia mzigo wa John Komba, kafungasha.
  6. D

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa twenzetu ikulu
  7. D

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Leo maroli hapa Mbeya yamepata Dili la kusomba watu kuwapeleka Kwenye sherehe ya CCM. Ila sijui Kama watarudishwa makwao baada ya Sherehe hii.
  8. D

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Lazima watumie wasanii kwani Hawana Hoja za kuwaeleza Watanzania.
  9. D

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Ha ha ha ha ha ha! CHAMA CHA MIZIGO (CCM) Leo wamechemsha huko Mbeya. Mbona Watu ni wachache? Wanafanyia sherehe yao Mbeya Kijiji gani?
Back
Top Bottom