Recent content by dullah saw

  1. dullah saw

    JamiiForums Tanzania Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    tumia Ndizi[emoji529]+ Maziwa fresh[emoji1636]+ Karanga + Vijiko 4 Vya Asali Hakikisha unavisaga kwenye blender ili uweze kupata mchanganyiko mzuri, hapo itakuwa Tayari Sasa Kwa matumizi, tumia ndani ya week 2 kutwa mara tatu utakuja kunishukuru
  2. dullah saw

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kaka hii boss na hiyo seapeano uliyo weka hapo juu ipi ina base nzuri na sauti nzuri
  3. dullah saw

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Seapeano vs Boss ipo ipo vizuri?
  4. dullah saw

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa ku access account yangu ya ig mwenye uzoefu anisaidie tafadhali

    Nashindwa ku access account yangu ya ig mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
  5. dullah saw

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Western union error, shida nini?

    Kipindi cha nyuma nilikuwa naweza kupokea pesa western union lakini sasa hivi nikitumiwa pesa zinagoma kuja shida ni nini?
  6. dullah saw

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Jamani na mimi nasumbuliwa sana na fangas usoni dawa ipi ni nzuri
Back
Top Bottom