Recent content by dullababa

  1. D

    Vipengele vya 60(1)(a-c) na 60(2)(a-c) katika Rasimu ya Katiba vinachochea kuvunjika kwa muungano.

    Mikoa ya pwani sio Tanganyika hata Nyerere analitambua hilo ...mkimaliza zoezi hilo tarajieni mikoa ya pwani watadai nchi yao iliyokuwa inaitwa AZANIA.
  2. D

    Tanganyika ifikirie kuinunua Zanzibar kama option ktk suluhisho la muungano

    Bw mdogo hesabu zetu vile visiwa vikipatikana kitachofuatia ni pwani yote toka tng hadi mtwr huko tulipotoka ilikuwa nchi moja huwezi ukaiita BARA ni PWANI (bara ni bara na pwani ni pwani na visiwa ni visiwa)
  3. D

    Hivi kwa nini wazungu wanatulazimisha wanaume kwa wanaume kufanya mapenzi?

    Si mnawaona wa maana kila siku kwenda kuwapigia magoti kuombaomba....isitoshe kila wanachofanya sisi kuiga.sasa ndio tunaambiwa tuchojoe suruali ingekuwa bora wangeanzwa viongozi wa juu maana fikra zao zimetawaliwa na wanalazimisha na sisi nao tutawaliwe kifikra ..ni sisi wenyewe kila...
  4. D

    Julius Mtatiro: Mawaziri wa CCM wanaendesha vikao vya siri na kugawa bahasha kwa wajumbe!

    Mkiona hali sio nzuri mtoke (msuse)mrudi kwa wenye inchi. Sisi tutajua cha kufanya.
  5. D

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ipo wapi tanzania pwani ? Maana tunaona tanzania visiwani na tanzania bara .... Pwani sio bara wala sio visiwa ....pwani ni pwani.tu na wenyewe tupo...wabunge wa pwani na waswahili sasa amkeni tujikomboe.kutoka kwa wakoloni hawa tujitambue hawa ni wabaya zaidi kuliko watangulizi wao
  6. D

    Rasimu ya pili ya katiba

    Iwe...isiwe...tunahitaji ukombozi tumeshanasa tunahitajika kujinasua ,wazee wetu walipambana nawajerumani kwa kuyakataa hayo wakapoteza uhai wao mali zao na nchi yao ....ndg zangu mnaposikiaMAPINDUZI DAIMA...(2) chamacha mapinduzi kina wenyewe... Bara itakuwa pwani na pwani itakuwa bara...
  7. D

    Je unataka muundo upi wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? ni Serikali moja, mbili au tatu?

    Maoni yangu....kuwe na serikali nne (1) tanzania visiwani (2) tanzania pwani (3) tanzania bara na nne hiyo ya muungano.napendekeza hivi kwa sababu zifuatazo:-pwani na visiwani walikuwa nchi moja nayo ni AZANIA nchi hiyo ilikuwa ni sehemu ya dola la ZANZIBAR nchi hiyo ya azania walikuwa na ardhi...
  8. D

    Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Nyerere alitusomesha hivi....kuna watanganyika...kuna wazanzibari....na kuna wazanzibara....unawajua wazanzibara? Tafakari. (2 ) Nyerere alitusomesha tena hivi...ataigeuza pwani kuwa bara na bata kuwa pwani..je unawajua wa pwani? ndio waswahili...jiulize...pwani unaweza kuiita tanzania bara...
  9. D

    Mkapa alia na serikali mbili (2)

    Unguja na pemba sio zanzibar...zanzibar ni pamoja na mikoa yote ya pwani na pembezoni mwake na uelewe waswahili ndio wanaopigwa changa la macho. Tafuteni historia sahihi.
Back
Top Bottom