Recent content by duleikhufa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Taa ya check engine inawaka na fundi amehangaika nayo bila mafaniko

    Wamekuwa na msaada mkubwa sana. Nashukuru kwa hilo. Mungu awabariki nyote
  2. D

    JamiiForums Tanzania Taa ya check engine inawaka na fundi amehangaika nayo bila mafaniko

    Niko mkoani ila ahsante kwa wazo zuri kaka
  3. D

    JamiiForums Tanzania Taa ya check engine inawaka na fundi amehangaika nayo bila mafaniko

    Samahan mambo ya smartphone haya hasa ukiwa hujatulia na kutype.. naomba radhi kama limekukwaza
  4. D

    JamiiForums Tanzania Taa ya check engine inawaka na fundi amehangaika nayo bila mafaniko

    Nashukuru sana kaka umenipa wazo.. ubarikiwe sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Taa ya check engine inawaka na fundi amehangaika nayo bila mafaniko

    Amani iwe nanyi. Kuna hii taa ya check engine inawaka gari nimeipeleka kwa fundi wamehangaika nayo siku nzima ila bila mafaniko. Na inawaka pale gari linapokuwa kwenye mwendo dk moja au mbili baada ya kuendesha. Msaada kwa wandewa japo wa kifikra nijue naanzia wapi kutafuta ufumbuzi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbwa kala Mbwa (kituko)

    Daaah hatari sana haya mambo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila bora ulijiongeza mapema kugundua kwamba mbona muandikiko wa kiume huo kwa maana mngeweza kupanga mpk location ya kukutana ikawa kituko huko.
Back
Top Bottom