Recent content by dukyungu

  1. D

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Hapana jamani msisingizie bank ya CRDB mimi ni mteja wa hali yakawaida sana,nimeshakopa zaidi ya mara moja vigezo vyao na masharti ni secure kabisa inataegemea na aina ya mkopo unao hitaji wewe,kwa kweli hamna mikopo mizuri kama ya CRDB Bank yaani unapewa mda mzuri kwa ajili ya marejesho
  2. D

    Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Acheni majungu fanyeni kazi.. Mbona mnashindwa kuliza Nmb
Back
Top Bottom