Maaskofu Mahalia wanapokusanyika pamoja wanakuwa chini ya Rais wa Baraza lao. Tanzania Rais wao sio Mwadhama Polcap Kardinali Pengo Wala Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa
Ndugu deblabant umeonyesha kutofahamu muundo wa Uongozi wa Kanisa Katoliki. Lakini pia huonyeshi kukumbuka kilichotokea wakati wa mvutano wa Wana siasa na Kanisa Kipindi hicho unachomsemea Mwadhama Polcap Kardinali Pengo. Tafuta jibu alilompa Marehemu Kingunge Ngombare Mwiru.
Heshima kwako Erythrocyte. Sipendi kujikita sana kwenye Nani mdhambi. Itoshe kusema fuatilia vema itifaki ya Kanisa Katoliki Kati ya Altare na mahali pa kutolea Homilia. Kwa umahususi wa Kanisani -Parokia ya Kiwanja cha Ndege Dodoma, wasiokuwa wadarajiwa (wote) walipewa nafasi ya Kuzungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.