Habari za mihangaiko wananzengo wa jamii forum hasa kwenye jukwaa la "Love connect".
Mimi nimekuwa mdau na msomaji wa maada tofauti tofauti kwa mda mrefu sasa tangu naifahamu jamii forum mwaka 2013.
ila sijawahi kuwa na account hapa, na sikuwahi kuamini kama naweza kupata mke mtandani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.