Nakuja kwenu kumtafuta mwanamke na chaguo la maisha yangu

Duduyankila

New Member
Feb 23, 2019
4
10
Habari za mihangaiko wananzengo wa jamii forum hasa kwenye jukwaa la "Love connect".

Mimi nimekuwa mdau na msomaji wa maada tofauti tofauti kwa mda mrefu sasa tangu naifahamu jamii forum mwaka 2013.
ila sijawahi kuwa na account hapa, na sikuwahi kuamini kama naweza kupata mke mtandani.

Rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba Rafiki au Mke/Mme mwema unaweza kumpata popote pale Inawezekana kabisa ikawa msibani, kwenye daladala, kwenye harusi au hata kwenye mtandao kama hapa.
kitu ambacho ni kweli na niliamini bila shaka yoyote.

Hivyo basi nimekuja hapa kwa lengo la kumtafuta mtu ambae atakuwa na hitaji kama langu seriously.

Mimi ni kijana wa miaka 30 Mkristo Rangi mweusi, urefu inch 6.7 uzito kg 70 na mkazi wa DSM, Mchalikaji na mwenye hofu ya mungu na mwenye shughuli inayoniingizia kipato halali
Natafuta mke mwenye mipango madhubuti ya kuanzisha familia umri kuanzia 20 - 30. mweupe kidogo maana mi mweusi Dini na kabila sio inshu.

Mwanamke mpambanaji na anaeyajua maisha aje mengine tutazungumza naamini kupitia jukwaa hili naweza kumpata mwanamke wa ndoto zangu.
Asanteni sana naomba kuwasilisha hoja
karibuni PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry jamani urefu ni futi 6.7 sio nch 6.7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huku mnatafutana huku hamjuani mkionana kila mmoja anamkimbia mwenzake,pambaneni huko huko mitaani.
 
hahaaah

kwanini asee
Tatizo linakuja pale ambapo unakuwa umejiwekea picha ya mtu wako kichwani,ukiamini zile sifa unazozifikiria anazo;sasa pale mnapokutana,unakuta ndiyo sivyo,matokeo yake ndio kukimbiana huko.
 
hahah na kwann ukimbie??
cha msingi ni kuvunga tu...afu ukitoka apo ndo ukate mawasiliano
 
Kwendraaa na Ki ID chako kipyaaa porojoo ukasahau vitu vya msingi, ukipata pm 5, kwa tangazo hilo basi nalog off jf miezi 6😁
 
Kila mwaka Takribani wanawake laki 4 wa kila sifa, kuanzia Form 4, Six Diploma, vyuo vikuu wanakuwepo mtaani hivi huwaoni? Matangazo yenu yamekuwa mengi kama ni slope zimezidi sasa.
Habari za mihangaiko wananzengo wa jamii forum hasa kwenye jukwaa la "Love connect".

Mimi nimekuwa mdau na msomaji wa maada tofauti tofauti kwa mda mrefu sasa tangu naifahamu jamii forum mwaka 2013.
ila sijawahi kuwa na account hapa, na sikuwahi kuamini kama naweza kupata mke mtandani.

Rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba Rafiki au Mke/Mme mwema unaweza kumpata popote pale Inawezekana kabisa ikawa msibani, kwenye daladala, kwenye harusi au hata kwenye mtandao kama hapa.
kitu ambacho ni kweli na niliamini bila shaka yoyote.

Hivyo basi nimekuja hapa kwa lengo la kumtafuta mtu ambae atakuwa na hitaji kama langu seriously.

Mimi ni kijana wa miaka 30 Mkristo Rangi mweusi, urefu inch 6.7 uzito kg 70 na mkazi wa DSM, Mchalikaji na mwenye hofu ya mungu na mwenye shughuli inayoniingizia kipato halali
Natafuta mke mwenye mipango madhubuti ya kuanzisha familia umri kuanzia 20 - 30. mweupe kidogo maana mi mweusi Dini na kabila sio inshu.

Mwanamke mpambanaji na anaeyajua maisha aje mengine tutazungumza naamini kupitia jukwaa hili naweza kumpata mwanamke wa ndoto zangu.
Asanteni sana naomba kuwasilisha hoja
karibuni PM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom