Daladala za Kichangani zinatoza nauli 1000 ilihali mlangoni pameandikwa 600 ,mwanafunzi anatozwa mia nne 400 ilihali mlangoni ni 200.
Daladala zimeanzisha route ya kichangani mzimu hodi bila kibali mwanafunzi akipanda daladala kutoka mjini gari zikifika kichangani wanafunzi wanaambiwa waongeze...
Habari ndugu natumai ni wazima ,nina shida ya kitabu tajwa hapo juu hasa tafsiri yake ya kiswahili ,kulikua na uzi wa kitabu hiki mwenye link aniwekee hapa
Nikitokea kijijini nilifika town kwa mara ya kwanza kwa kaka yangu,shemu akapka akanikaribisha mezani akanambia shemu karibu chakula,nilipofka mezani nkakupa hotpot lina ugali mimi nkajua ni wangu wote Mana nimekaribishwa nikala wote kumbe ilikua ni chakula cha familia nzima ,nililaza watu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.