Recent content by Duduke

  1. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    I think ni maamuz japo nawez nikakubar hoja yako coz akili inachok pia
  2. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    Boss wangu nakumbuk alikuwa na 40 akaenda kuapgrade ten chuo for 5 years and ashamalz now
  3. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    Mabaki ya nguvu gan but juxt know chuon kun watu wazima wengi tu wanasom and their ages ready gone!! So how this
  4. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    Mbon kuna watu wanatokea makazini age ishawaenda na wanasoma.wao inakuaje
  5. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Ebu tubadilikeni ukimwi ni kama homa zingine msiwe addicted ivyo.
  6. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Shida ya nyie kila mwenye magonjwa ya ngozi HIV mtu asipate infection kidogo HIV tubadilike! Ndo nyie mnaoogop kupima!! Kakitu kadogo tu kwenye mwili HIV
  7. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Chige ni vipele t ivyo sijui ni ugonjwa gani ata mi nimechukua hii picha nimweleweshe huyu chizi aliyekatwa masikio na ubongo wake ulocheza kipindi yupo mdogo haelew namwambia ma baby katoka vi rashes uson kama vya baridi alibadilisha mafuta kakazana ukimwi ukimwi wakati yemwenyewe CD 4...
  8. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Ok thank u!! Ye anasema amebadilisha mafuta meanx kuna mafuta alikuwa anapaka kaacha
  9. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Ni kama muundo huu sema kama vikubwa
  10. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Ha unaishi mkoa wa joto?
  11. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Mwili wako ukisisimka hautoagi rashes au kama kuna baridi Kali ujavaa sweta vile vipele sasa ndio alivyo mimi binafsi sivipendi nataka vitoke
  12. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Oh ndio mazuri eh!! OK thanks ngoja nimtafutie mana ngozi yake haivutii tena jamani!! Namwonea huruma sana
  13. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Naombeni ushauri mpenzi wangu ametoka rashes fulani kama za baridi baridi anasema kuna mafuta alitumia yamemuharibu msaada wenu tafadhari ngozi yake irudi kama awali!! Nakaribisha comment mapovu ruksa!! Ila hayatajibiwa
  14. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    Kutokana na matatizo mbali mbali niliyopitia mwaka wa kwanza chuo semester ya pili yamevuruga akili yangu imekuwa sio ile yenye nguvu kila kitu kwangu naona uvivu tu hadi kushika daftar Nipo mwaka wa pili semester 2 uvivu umenitawala jamani naomba counseling yoyote kama Upo tayari kunisaidia...
Back
Top Bottom