Recent content by Dudu1

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Mulemule... Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JamiiForums ni watemi sana

    Pole sana mkuu, ila mbona hujabainisha chanzo cha msonyo? Au ulitaka kopa ukashtukiwa? Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JamiiForums ni watemi sana

    Pole sana Mshana, ila hujeweka wazi kisa cha msonyo, au ulitaka kukopa ukashtukiwa? Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

    Asante mkuu, nimerudi kwa nguvu zote na hivi karibuni kuna uzi nitauanzisha Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

    Hujaacha tu vituko mkuu...??!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natamani ili jembe lirudi madarakani

    Tabasamu la mwaka
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sema kweli! Maua nimpelekee nyuki!?

    Yapeleke kwa kidosho ukifika ondoa vifungashio
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kifo cha simanzi mno

    Mkuu Mshana Jr. kuuliza si ujinga kwani wewe ni pathologist wa hawa jamaa? Na hivi eti uliwakuta gesti gani vile? Nimeuliza tu.. .!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kifo cha simanzi mno

    Eti nini kimemuua ukiangalia hayo mazingira?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kifo cha simanzi mno

    Mshana Jr unawasingizia kwamba wamekufa, infwakiti ana-muispekiti
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wamemdaka

    Mshana Jr it is a wrong identity
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni geto la msela

    Ongeza omo,jiki na brashi. Dodoki halifui dafu hapo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi,tembea uone

    Wenye pesa wanapoamua kumgeuza binaadamu mjinga bidhaa watamdhalilisha wapendavyo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kiufundi zaidi

    Mtoto kadondosha ufunguo chooni
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kiufundi zaidi

    Mabibo nyumba ya tatu toka Kiblateni jirani na Dorothy Guest House
Back
Top Bottom