Recent content by Dude la mbinguni

  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Gwajima n bora kuliko huyo Gwajima tutamchagua haijalishi nini
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    We mwenyewe msukule wa halima sema hujitambui bora sisi tunajielewa kima wewe
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Kawahiyo wananchi wa kawe n misukule sio hahaha sawa atawatumikia ipasavyo
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Alijirekodi na wewe acha ushabiki wa maandazi wewe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Hahaha unataka na wewe uje ulipwe au
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Kura yangu n kwako Gwaji box
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Hakika Gwajima anafaaa sana kwa jamii yetu kawe tunaenda na gwajima
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Kwavile wewe umezoea kulipwa kwa kutetea uovu unadhan na wenzako wako hvyo acha ujinga wewe
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Hapa nimekuelewa Sasa JJ
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Hahaha m namuelewa askofu hata mim nilkuwa siipendi CCM lakin Baada ya magufuli kuingia madarakan na mambo aliyoyafanya hasa kipindi cha corona aise nilgundua kuwa nilkuwa nakosea sana kuichukia CCM
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Wanakawe tujiulize kama alikaa miaka 10 na hajatimiza hii miaka 5 atafanya nin ilikutimiza au atakuja na mbinu gan mpya za kutimiza yale ambayo hakutimiza kwa miaka 10 kama sio utapeli
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Tulipoona n mwanamke tuliamua kumuamin na kumpa kura zetu kwa mapenzi lakin amevunja imani yetu baada ya kukaa miaka 10 bila hata kutetea jimbo lake Halima hastahili kabsa kupewa kura hata moja aende tu akapumzike
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Miaka 10 wewe uko ubunge na haujakamilisha kitu hata kimoja kila jambo unasema linaendelea so utaendelea mpaka Yesu arudi na atakukuta haujakamilisha lakin mwaka huu pumzika tu Gwajima akusaidie kutimiza yale ambayo haujakamilisha
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Itakuwa n kukosa akili na ujinga kumchagua halima mdeee
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Hapa Gwajima hana mpinzan ameshashinda tayari anasubiri tu kuapishwa
Back
Top Bottom