Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za kuwahamisha,na kuwafanyia tathimi kwa nguvu,sasa imepita Mwaka mzima hakuna cha fidia wala nini,na...