Recent content by Dsm Installers Tech

  1. Dsm Installers Tech

    Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  2. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Tunaendelea na kazi tupigie 0658517022 ●Inawezekana unaona mashine inakuonyesha kufanya kazi ndio lakini ina muda haijafanyiwa service mfumo wa fence yako. ●Umefunga Cctv camera lakini kuna muda zinakata na kurudi,camera zingne zinafanya kazi na zingne hazifanyi kazi. ●Umefunga gate motor...
  3. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Ni nzuri ndio mkuu lakini kama ikatokea mgeni akagundua na akakukalia kooni basi hapo utazichukia moja kwa moja😁.
  4. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Bei ya DVR 4ch hutegemea na kampuni kwa top brands kama hik na dahua huwa ni 120,000 4ch dvr (hii bila hard disk) Kwa hard disk pia zipo za 500gb,1 tb,2 tb n.k
  5. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    65,000 boss. Hizi ni wired,utahtaji kupata dvr ya kulingana na idadi ya camera utakazoweka, dvr zipo za njia 4,8,16 hadi 32. Zinaonyesha picha 1080p lakin ni ngumu kuzigundua Camera ilipofungwa.
  6. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Zinaitwa mini au spy camera. hizi zipo boss. Lakini kwenye kuzifunga huwa sisi hatufungi hizi. Kwa nini hatuzifungi? ni kwa sababu ni camera za siri,zinweza kuingilia faragha ya mtu na hii kisheria si sawa. Lengo la Camera za ulinzi ni zionekane na mtu awe na tahadhari ya uwezo wa Camera na...
  7. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Tunaendelea kutoa huduma, karibuni sana,tunafika popote Tanzania bara na visiwani. 0658517022
  8. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Punguzo linapatikana boss wangu kulingana na kazi. Aina za Camera na aina ya gate motor unayohitaji. Karibu sana mkuu 0658517022
  9. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Itakuwaje umeme ukikata? Gate motor inakuwa na battery 2 kwa SMART na battery moja kwa EVO zitakazokuwezesha kuendelea na shughuli za kufungua na kufunga geti lako hadi mara si chini ya mara 150. n zitakuwa na power saving model itakayopnguza speed ya geti ili kukupa muda mrefu wa ku operate na...
  10. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    GATE MOTORS UMUHIMU WA GATE MOTOR NI NINI NYUMBANI KWANGU ? 1.kurahisisha kufunga na kufungua geti lako na kukokoa muda. Gate motors zipo kwa ajili ya kukurahisishia kazi ya kufunga na kufungua gate lako bila kutumia nguvu na muda mwingi kusubiri geti lifunguliwe na kuna muda...
  11. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    UMUHIMU WA KUFUNGA ELECTRIC FENCE [UZIO WA UMEME] Kuna umuhimu mkubwa wa kufunga uzio wa umeme kwani inakulinda na intruders kama wezi wa kuruka ukuta kuingia kwenye eneo lako. hivyo hata mtu akikata waya fence yako king'ora kitalia lakini bado fence yako itauwa inafanya kazi. UMEME...
  12. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Kama material ni yako ufundi huwa ni 5000 hadi 7000 kwa mita moja [sio square mita] kwa maana hapa tuna hesabu linear meter urefu kuzunguka nyumba ama kuifuata fence mwanzo hadi mwisho wake. 0658517022 karibu sana mkuu
  13. Dsm Installers Tech

    Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

    Yes mkuu karibu sana na hii inakuja na remotes mbili zinazokuwezesha kufungua geti lako kuanzia umbali wa mita 100 hadi 0m. Vile vile unaweza kutumia smartphone kufungua na kufunga geti lako kwa smart gate motors. [Hii mara nyingi hatushauri kwa sababu application huwa zina misbehave hivyo...
  14. Dsm Installers Tech

Back
Top Bottom