Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa,
iliyoigizwa na wasanii wakali kutoka East Africa, yaani Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi na Tanzania.
Hii habari imechapishwa na...