Nmesoma story yako nmeielewa vizuri. Kiukwel najua uko kwenye situation ngumu. Najua wew bado unampenda lakin moyo ndo shida. Ilo ndo tatizo letu moja wanaume uwa tukipenda tunapenda kwel. Ila nakushauri force moyo wako hutoke kwa uyo dada. Laa sivyo Kuna mawili yatakupata either atakuwa mke...
1: Wataweza kukopesheka bank sababu biashara yao itakuwa ya uhakika.
2: Wataweza kuongeza kipato zaidi ya Sasa.
3: Wataepuka hasara zitokanazo na dagaa kuoza, kuliwa na ndege na wadudu wengine.
4: Dagaa watakuwa na ubora wa Hali ya juu na kuwawezesha wavuvi kuuza dagaa wao ata soko la ulaya.
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.