Recent content by DroneMan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Its Photoshop hata ukiangalia mood za watu hapo. Angalia mkono wa kulia wa EL na uzoom. Dr Slaa kavaa nguo tofauti ktk picha mbili. Pure Photoshop.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hatari ya mafanikio - CHADEMA/UKAWA & Lowassa

    Good analysis
  3. D

    JamiiForums Tanzania Azam Media mnastahili pongezi

    Ni kweli Azam TV n moto Wa kuotea mbali. Wamesajili majembe yote. Fatma Almas Nyangasa, Ivona Kamutu, Baruhani Muuza, Raymond Nyamwihula, Charles Hirraly
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Imekubali now. Thanks
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Mkuu wewe imekubali kuingia ndani (Logged ) Nilianza kujaza jumamosi usiku, leo naingiza credentials zangu ( username n passwd ) inagoma kuingia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Muda huu ndo imefunguka mkuu. Sio mara ya kwanza kujaza nimeshamjazia mdogo wangu mwingine. Kwa ufupi ilikua offline, najua computer vizuri sana.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Haikubali hata kwa hizo Mozilla, crome, explorer n.k . Nahisi kutakuwa na matatizo. Nimejaribu computer nyingi mno tangu jana lakini wapi.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Mkuu hata Mimi tangu asubuhi. Jana usiku ilikubali lakini sikumaliza kujaza. Team ZimaMoto kimenuka
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ajiunga na Team Lowassa kumhujumu Membe

    Ngoja na mm nitunge story yangu..
Back
Top Bottom