Recent content by droidwallmail

  1. D

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    hii ilikuwa ni kama vita, sasa walichofanya wao, ni kutuliza raia wasifanye fujo na hatimae vita alafu watumie njia za kidiplomasia kutafuta ufumbuzi. hawakushindwa kuwaambia watu fanyeni yenu mziki uwe mnene. pamoja na nec kuwadhalilisha still waliwaambia wafuasi wao wadumishe amani. ingekuwa...
  2. D

    Mambo 10 ya kustaajabisha kwenye uchaguzi huu

    fools fool themselves, hii ngoma bado sana.
  3. D

    Stop Order mchakato wa uchaguzi wote Tanzania na Court intepretation

    yani kile kizee kikiongea nakiona mwana mazingaombwe fulani ivi. kinatumiwa matokeo yaliyochakachuliwa na kenyewe kanasoma tu kama likondoo halitaki kujua kama ni halisi au sio, kinakomaa tu kusema yametoka jimboni wakati yametoka hapo mlimani city. mi kusema kweli nataka obama aje...
  4. D

    CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    we mwenyewe mchache sana, mkija wa 6 mi mmoja tu nawafumua mikundu mnabaki kuharisha kama mna festula.
  5. D

    Zitto: Kufuta matokeo Zanzibar ni chanzo cha vurugu nchini

    yani kile kizee kikiongea nakiona mwana mazingaombwe fulani ivi. kinatumiwa matokeo yaliyochakachuliwa na kenyewe kanasoma tu kama likondoo halitaki kujua kama ni halisi au sio, kinakomaa tu kusema yametoka jimboni wakati yametoka hapo mlimani city. mi kusema kweli nataka obama aje...
  6. D

    Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

    maneno kama haya yako yanaweza yakaleta machafuko makubwa mno, epuka maneno yanatowatia watu hasira wakati tayari wana jazba, ni kama ile siku umefiwa na mamako alafu ukakutana na mtu akakutukana apo apo ''**** la mama ako, hunifanyi lolote''. mtu kama huyo unamfanyaje??? angalia kwanza...
  7. D

    Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

    njoo hapa https://www.facebook.com/tanzania.usembassy/?fref=nf
  8. D

    Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

    Haswaa. waongelee na yanaoendelea huku bara pia maana lubuva hatumuelewi, anafanya figisu figisu. yani akiongea namuona kama kizee flani hivi mwana mazingaombwe vile!
  9. D

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    hapo kuna msiba, na hapa kuna mgogoro. vitu viwili tofauti.
  10. D

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    MATOKEO YA NEC YANA KASORO NYINGI.! Jana nilisema nitatoa screnario tano kudhibitisha kuwa matokeo yanayoendelea kutangazwa na Tume si ya kweli na yanafaa kupuuzwa na kila mtu mwenye akili timamu. Licha ya Tume ya uchaguzi kutokua huru lakini imeamua kushirikiana na CCM kupuuza maoni ya...
  11. D

  12. D

    Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

    MATOKEO YA NEC YANA KASORO NYINGI.! Jana nilisema nitatoa screnario tano kudhibitisha kuwa matokeo yanayoendelea kutangazwa na Tume si ya kweli na yanafaa kupuuzwa na kila mtu mwenye akili timamu. Licha ya Tume ya uchaguzi kutokua huru lakini imeamua kushirikiana na CCM kupuuza maoni ya...
  13. D

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    mkuu mi nasubiria tu apa wakubwa zetu watasemaje....kama ni kutoka barabarani kama wanaume wengine niko tayari
  14. D

    Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

Back
Top Bottom