Recent content by drmaxmhozya

  1. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawasiliano na madalali wa soko la ndizi Mabibo Dar es salaam

    Kwani wewe uko wapi? .nicheki nikupe direction ya sokoni na hao ndizi ni mbivu au za moshi?
  2. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Huduma chapu chapu

    Dagaa kilo 7000
  3. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Huduma chapu chapu

    Tunaanzia kilo 5 kwa delivering vitunguu maji kilo ni 1500 Vitunguu swaumu kilo 6500 Tangawizi 2500
  4. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Huduma chapu chapu

    Habari Wana hf nafanya delivering ya bidhaa mpaka ulipo tunakufikia ikiwemo hotelini, migahawani na majumba binafsi ya watu huduma zetu ambazo tunazo ni Vitunguu maji Vitunguu swaumu Dagaa wa bukoba Viazi mviringo Tangawizi Mfumo wetu wa kuuza ni kwa bei ya jumla yaani tunapima kwa kilo...
  5. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania INAUZWA HP Multifunction Printer inauzwa

    Vipi speed yake kwenye copy ikoje na vip kuhusu kazi ya rangi iko poa na inatumia wino wa unga au maji?
  6. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    0657709912
  7. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Machapisho Agent

    Ni kampuni dogo linalojihusisha Sana na shughuli nzima ya maswala ya uchapishaji pia tunafanya delivering mpaka mkoani je wewe unahitaji vitabu au nakala mbalimbali jibu ni machapisho Agent tunachukua tenda za Vitabu Invoice book Recept book Delivery note Calendar Mabango Banners Tisheti...
  8. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

    Kitu Kama hicho kwa ardhi ya Tanzania kwa miaka sizani Kama kipo kabisa mtuache aisee watu wametoa pesa kwa promo basi lazma wapromotiwe
  9. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

    Umeona ee siamnin kitu Kama hiko
  10. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    Nipo dsm
  11. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    Mimi ni kijana nimeshamaliza masomo yangu ila nahitaji kuendelea masomo tena wakati huo Mimi ni mpambanaji na biashara yangu japo bado haijasimama vizuri kabisa ila na matumaini itakaa vizuri lengo kubwa Sana la kutoka nyumbani kutafuta nyumba kwanza kabisa nahitaji Uhuru wa kujitosha ili niweze...
  12. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au siyo kwa hilo bado Sana huna uwezo huo Mimi natumia luga rahisi ndo Mana nimeeleweka
  13. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] asanten ila nimeandika kingereza Cha kueleweka kabisa chenye mtiririko wa tense ili kila mmoja aelewe Sasa ona wewe hapo luga ya watu hii usitumie nguvu utaumbuka
  14. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    Maisha popote brother
  15. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

    Local believe
Back
Top Bottom