Recent content by drlyimo

  1. D

    Nimependa msimamo wa Dr Slaa

    Ni vizuri mtoa mada ukajua nini lengo la UKAWA na wananchi kwa ujumla. Sisi wenye uchungu wa ukweli na nchi hii ya neema nyingi tunakushauri ujue kuwa swala siyo mtu bali ni kuweza kufanya mageuzi yenye tija kwa faida ya kila mwananchi. Lowasa anakubalika na dunia nzima. Tumpe nafasi atupe...
  2. D

    Nimependa msimamo wa Dr Slaa

    Hongera Mh. Lowasa Rais wetu. Hawa wote watoa mada pingamizi ni mamluki. Tusonge mbele na safari ya matumaini. Tunataka mageuzi nchi hii. Tumechoka
  3. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Clinical Officer

    Ila kwa sasa lazima uombe hiyo shule kupitia wizara ya afya
  4. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Clinical Officer

    Fungua tovuti ya Machame hospital uwasiliane nao
  5. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Clinical Officer

    Wewe una sifa zote. Nenda physically Machame na barua yako umwone mkuu wa chuo atakupa maelekezo. La kama u mbali tuma kwa posta. Lazima utapata kwa cheti cha fm 4. Lakini ujue ada ni zaidi ya m 2
Back
Top Bottom