Recent content by drkaru

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Jengo hili ni pesa za umma Tanzania viongozi Lao moja
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Dkt. Bashiru ataendelea na nafasi ya Katibu Mkuu?

    Mwajidanganya Bashiru ni mwiba wenye sumu kali Mungu Tufikishe2810 salama
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Bima ya afya si kinga ya maradhi Sera ijikite kwenye kuzuia maradhi si kutibu Watanzania wale chakula bora, wajenge vyoo wafundishwe kunawa mikono , kufanyaazoezi kuwa na mawazo chanya nkHOSPITALI SI MAHALI PA KUJENGA AFYA BALI NI SEHEMMU YA KUKARABATI SIHA Sent from my SM-J200F using...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alivyoleta neema kwa makundi mengi ya watu

    Mlisema nchi haitatawalika mwenye nguvu akawabana mithili ya panya aliyebanwa na mlango Msirudie tena na kuweni na adabu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Lissu dawa yako imekwisha chemka 28/10 utainywa tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema umefikisha ujumbe kazi kwao kuupokea

    Cdm ni chama cha demokrasia Lema àcha ubabe na matusi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wapinzani 2020 njooni na sera hizi zitakazoiangusha vibaya CCM

    Mie nafikiri chama kinaota ikulu ni sharti kiwe na mkakati Wa kuhamasisha wat u Kuelewa hali halisi ya matatizo yetu na njia sahihi na ngumu yamapambano Chama Chenye Kuongozwa na matakwa ya Mtu mmoja bila kishirikisha mawazo ya wengi chama hicho kitawaburuza namtajuta vyama viongozwe...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Funga kulax2kwa wiki Fanya mazoezi magumu na mepesi kula unaposikia njaa usijaze tumbo chakula acha nafasi ya hewa na maji fanya usafi wamwili (body cleasing)
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Lowassa anaitesa CHADEMA

    Vyama vya siasa badirikeni jengeni madaraja ya zege kati ya wenye vyama na viongozi nina hakika upepo mkali unaovuma ulaya na marekani Mwisho wake ni dunia nzima Msipo jipanga mwe
  10. D

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema umefikisha ujumbe kazi kwao kuupokea

    Kufa ni tukio muhimu na la lazima baada yakuzaliwa kwa Kila mtu kufa si adhabu bali ni haki ya msingi Kwa watu wote
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Sekta Binafsi wekezeni kwenye kinywaji cha Gongo

    Tofauti ya gongo na pombe za kizungu ni kodi bangi ubaya wake ni kuiiiivuta lakini ni fibre crop twaweza kupata nyuzi kwa ajili ya nguo karatasi nk bangi ni chakula bora cha mifugo zao LA mafuta na tiba nk
Back
Top Bottom