Mmawia mi nadhani Waziri kafanya vizuri kuchukua hatua faster vinginevyo ingeweza kuleta vurugu sana iwapo wenye imani na Kitabu chao wangeachiwa kuchukua hatua, na wala haya ya kuwa alilewa yasingejulikana zaidi ya jambo hili kukuwa na hata kuwa ni wa nchi nchi nzima..
Halafu huyo hajafukuzwa...
Alichofanya Waziri ni sahihi kabisa, kwanza tuelewe hajafutwa kazi ila amesimamishwa ili Mamlaka za juu katika eneo lake la kazi zichunguze na kumchukulia hatua za kinidhamu sitahiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utaratibu wa kawaida tu Kampuni au taasisi yoyote kuwa na account zaidi ya moja..ni jambo ambalo liko wazi tu katika uendeshaji wa taasisi yoyote.
Hakuna namna yoyote ambayo account yaweza fichwa isijulikane, Tra hata benki wanazifikia pia, hivyo account yoyote haiko mafichoni kwa tra, kwa...
Kero yangu ni katika barabara itokayo Zakhem Mbagala kwenda Mbagala Kuu ipitayo kibonde maji.
KERO: Kipande cha barabara kinachoanzia kibonde maji hadi Kichemchem hakijawekwa lami ina Mashimo Mashimo makubwa na mengi
MADHARA:-
-Magari yanaharibikaMara kwa Mara
- muda mwingi hupotea sana...
Lazima utaanguka tu kwa Yale waliyoyasema:
1. Huku unadaiwa TRA hela unayolipwa inakatwa deni na Tra juu kwa. Juu
2. Huku kazi iko mbioni kunyang'anywa muda uliopewa hautoshi kumaliza
3. Wafanyakazi wanahitaji mishahara yao kama kawaida mambo ya madeni ya kampeni hayawahusu..
UTAZIMIA TU..
Siungi mkono huu uhuni unaoendelea
Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na hasa hili la ama kutowapa fomu wagombea wenye sifa zote wa baadhi ya vyama au kutokuwepo ofisini kupokea fomu za wagombea wa baadhi ya vyama.
Hii picha inatuchafua sana, na umuhimu wa uchaguzi unakuwa haupo tena, kwa...
Umefika wakati Wanambeya kubadilisha mgombea toka chama chochote na kwa hawa uliowataja basi DR. TULIA anaweza kufaa kwa Maendeleo ya wana Mbeya.
Huyo mtu usipime ni Mashine nyingine serikalini kwa sisi tuliobahatika kufanya nae kazi.
Tujivunie kwa sasa kuwa tutampata MTU mwingine mwenye maono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.