Recent content by drekim

  1. D

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    notradamme huna ushawishi wowote na hakuna chukuconect apo, jipange uje na lingine...
  2. D

    Kikao cha KUB Kukutana Wiki Hii Kumvua Rasmi ZZK Nafasi ya Naibu KUB!-Busara Zaidi Itumike!.

    Busara ilishatumika, na maamuzi yalishachukuliwa... Kinachofanyika sasa ni kutekeleza maamizi ya busara yaliyofanywa na CC, kumvua vyeo na ikiwezekana kumfuta kabisa uanachama. Pasco kaka nyinyi na wengine wengi ni mamluki wa mtu mmoja mmoja ktk chama, chama hakijengwi na mtu mmoja bali sera...
  3. D

    Rai: Kapuya asamehewe...!

    Naunga mkono hoja kwa nguvu kabisa ila hilo la kunsamehe sitakua mnafiki sio raia wakusamehewa hata kidogo, hata kujaribu kumsamehe nitakuwa nawalakini akilini mwangu. Ukweli ukipatikana ahukumiwe mara moja... Huyu ni muuaji... Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  4. D

    Pendekezo: Kapuya ametudhalilisha wana UDSM avuliwe uprofesa wake haraka

    Sioni kiunganishi cha uprofesa wake na kitendo alichochenda... Anyang'anywe asinyang'anywe haipunguzi au kuondoa aibu hiyo aliyofanya mtu anaeitwa profesa... Ukiangalia msg alizokua anaandika kumtisha huyo mtoto ni aibu tupu. Kinachoweza kufanyika ni kumtoa kwenye alumni ya chuo ila sio kumvua...
Back
Top Bottom