Recent content by dream

  1. dream

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Dunia ina mengi...ila maisha lazima yaendelee
  2. dream

    Kiburi cha madaraka au ubinafsi?

    Ina maana wenye mamlaka wameamua kupuuzia hizi wanazosema ni sauti za wachache au kiburi cha madaraka na ubinafsi? Kila lisemwalo mtandaoni linaonekana ni jambo la wachache au sio wenye maana. Wenye mamlaka wakipanda jukwaani wanajibu kwa kebehi maandiko na mapendekezo yanayo ungwa mkono na...
  3. dream

    msibani

    Mchaga kafiwa na mtoto wake alie zaa na Mwanamke wa kichina,ikabidi wasafirishe toka china hadi kwao moshi..Msiba kufika nyumbani mama mkwe akaanza kulia huku akiongea mimi nilijua tu..maana bidhaa za kichina hazikai muda mrefu..watu wote wakaagua kicheko badala ya kilio
Back
Top Bottom