Recent content by dream peak

  1. dream peak

    wazo la biasharaa

    Je nauli yakutokea kwenu vocha kwa ajili ya kuwasiliana yote ni fedha so nilazima uwe na mtaji wa kuanzia kazi yoyote
  2. dream peak

    Task nyingine,Kwa nini wanaume wapole na wastaarabu hutendwa na wenzi wao?

    Kwasababu hawaonyeshi ukali wa aina yoyote ndio maana inakuwa rahisi kutenda,wenzi wao wanajua nikimfanyia hivi akigundua atanisamehe.:what:
Back
Top Bottom