Recent content by Dread Pirate Roberts

  1. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania There's more to web development than PHP

    PHP ni moja ya scripting language ninayoichukia sana, sitaki kuisikia wala kuiona!
  2. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taxi drivers wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya "UBER"?

    Ni kitu gani kipya kwenye application yako ambacho kinatofautisha na Uber?
  3. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Modem inanizingua

    Hakikisha Windows 10, operating system unayotumia kufuatana na hiyo picha inaona drivers za hiyo modem yako. Siyo kila operating system hizi modem zinaweza kufanya kazi. Angalia operating system specifications ya hiyo modem yako.
  4. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Nyumbani nimetumia kompyuta yangu ya zamani ambayo nimeweka Linux Operating System na XMBC-Kodi na kuinganisha mtandaoni kwa ajili ya burudani. Ni rahisi na nafuu.
  5. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Tanzania For Sale!

    Ni mara yako ya kwanza kuona bidhaa ikiuzwa na muuzaji kakwambia bei ni maelewano? Hizo kitu zipo sokoni narudia tena bei maelewano.
  6. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to buy Bitcoin and Ethereum

    If you've seen the incredible upward momentum of Bitcoin, Ethereum, and other cryptocurrencies, you've maybe also considered getting in on the action. Now, you're gonna learn how. But first, a disclaimer: Bitcoin, Ethereum, and so many of the other cryptocurrencies out there can be a way to pay...
  7. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Tanzania For Sale!

    Inauzwa, bei maelewano. Dar es Salaam na Mjini Kibaha
  8. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tanzania hakuna ma IT..kuna mafundi mchundo tuu

    Hilo ni tusi kwa watu wa kada ya tehama. Japo haujakiri kuwakosea watu wa kada hii, ila umekosea. Mimi nimekusamehe, ila usirudie tena upuuzi huu!
  9. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Network inasumbua

    Unapoflash simu, ni sawa na kama vile unapoweka(install) operating system mpya kwenye komputa, kitendo hiki kinafuta operating system iliyopo na kuweka nyingine. Kwanini haupati network? Hii ni kwasababu hiyo operating syste uliyoiweka haina network drivers za hiyo simu yako. Kwasababu original...
  10. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Two-Step Verification/Two factor authentication

    Yes for protection because unauthorized actor will not be able to supply the factors required for access.
  11. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The first step in protecting your digital security

    Learn here: Assessing Your Risks
  12. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Tanzania CIA imekiri kuingilia siasa za Venezuela

    walifanya kitu kama hicho Chile, pia Argentina, jamaa ni watukutu!
  13. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Two-Step Verification/Two factor authentication

    kumbuka kutumia njia ya app kwa mfano Google Authenticator badala ya njia ya Email. Kwa watumiaji wa simu za Android ambao ni wengi, unaweza upakua Google Authenticator kwenye Play Store.
  14. Dread Pirate Roberts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Two-Step Verification/Two factor authentication

    It minimize attack vectors.
Back
Top Bottom