Recent content by Drc congo

  1. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Kuja congo acha kuangaika
  2. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua App au platform ya kufasiri audio to audio

    Audio to texte ni App gani ??
  3. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Wakali wa movies

    Maskini msichana Alina, mwili wake ulitumikishwa vibaya sana kingono... Bahati mbaya hakuwa na wa kumsimulia anayopitia, kwa sababu wahusika walikuwa na nguvu kwenye kila idara.. Kuanzia kifedha, kisilaha, hadi kimakundi, ni Russian Mafian Mobb, wauza madawa, na human trafficking... Alina...
  4. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Wakali wa movies

    Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona ili wengi wazitafute
  5. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Vip sasa kuhusu awa wanao pitiya njia za ku kambi (refuges)
  6. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

    nimevumiliya adi kuchoka 16 may -- 18june
  7. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

    nilivumiliya nusu nife na nyege zangu
  8. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

    kufanya siku 40 wala wiki 6 bila kufanya mapenzi ni shida sana Nasema shida sana !!Nyege jameni
  9. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

    Habari za asubuhi ndugu zangu, Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja. Hivi kuna madhara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama?
  10. Drc congo

    JamiiForums Tanzania Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Nakupenda mpenzi -DUDUBAYA
Back
Top Bottom