Recent content by dracular

  1. dracular

    JamiiForums Tanzania Nafafuta taa za mbele za Suzuki swift old model(2003)

    Habarini wakuu.. kama post inavojieleza natafuta taa zote mbili za Suzuki swift nipo DSM
  2. dracular

    JamiiForums Tanzania Master's ya strategic governance

    ahsante sana🙏
  3. dracular

    JamiiForums Tanzania Master's ya strategic governance

    Habari wakuu,, samahani naomba kujua gharama za kusoma! kusoma Masters ya strategic governance katika chuo cha diplomasia maana nimeangalia kwenye prospectus ya chuo hawajaweka tuition fees structure.. Lakini pia nilikuwa napenda kuuliza Je wana evening session? Na je academic year inaanza...
  4. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Aiseee ni kweli mkuu ila huyu Jerry ni kama nimchek akasema hana
  5. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    kesho ntakachek mkuu
  6. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Kisangani ndo wap mkuu samahani unaweza nielekeza
  7. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    😂😂 sawa mkuu
  8. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    ok sawa ntakuchek kwani bei ya mpya sh ngap?
  9. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Kwan kuna ubaya kuuliza kitu usichokijua?
  10. dracular

    JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya.. Naomba kuwasilisha kwenu
  11. dracular

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeingia maji

    Tuliangalia upande wa injini kulikuwa pakavu kabisa pale pale ilipokuwa imenasa yaani maji hayakufika mengi kwenye injini maana haikuzama yote mkuu
  12. dracular

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeingia maji

    Ila haikuzama yote mkuu
  13. dracular

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeingia maji

    Duuuuh aisee 😳😳😳😳
Back
Top Bottom