Ndugu zangu Watanzania,
Nimesoma kwa umakini "Taarifa" ya kukamatwa na kupelekwa Kituoni Katibu Mkuu wa Chadema na Viongozi wengine wa ngazi ya Mkoa na Kanda, kule Mbamba Bay, wakiwemo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz. Mara kadhaa viongozi wa vyama mbali mbali pia wamekamatwa...
IlongaIlunga,
Jaribu kutofautisha Issues. Sizungumzii popote masuala ya kisheria wala Taratibu za ki uchaguzi. Ninamshughulikia Gwajima kwa Kauli zake ambazo siyo tu zimeleta madhara makubwa kwa jamii pana na watanzania wa Tabaka mbalimbali. Ustaarabu wa kawaida mtu akikosea jambo ili amani...
Buyumba,
Ungelijua tone la Utawala usingelisema unayoyasema. Ushauri wa Bure, pitia Administrative Law japo kidogo kwenye google. Nilieleza " nililetewa hoja na Gwajima". Dr Slaa asingeliweza kuamua hatua ya kuchukua bila kumfikishia Mwenyekiti. Soma basi Katiba Chadema kama uko mpenzi sana wa...
Kamanda,
Naona hujalala saa hizi! Msimamo wangu ulikuwa wazi. Mshenga alikuja kwangu kunijulisha yaliyotokea Dodoma na kunitaka tuone namna ya kumpokea. Nikampeleka kwa Mwenyekiti wa Chama. Hiyo ndiyo "Mimi kuanzisha mchakato". Nimeeleza mara kadhaa lakini naona watu wameshindwa kupambanua...
Yehodaya,
Asante kwa kutukumbusha haya. Ndiyo maana siku chache zilizopita nilisema:
i) Ni muhimu kwa " Mshenga Gwajima" kutubu na kuwaomba Radhi Watanzania kuliko kuendelea kuwapotosha.
ii) Mungu hamilikiwi na binadamu awaye yote. Watanzania tunawajibu wa kumshukuru sana Mungu kwa kutukomboa...
WanaJF,
Naamini hamjambo.
Awali niweke wazi kabisa sina tatizo na "Pongezi" kwa Mhe. Raisi JPM kwa kaxi nzuri sana aliyofanya na anayoendelea kuifanya katika kuirudisha Taifa letu kwenye Reli. Tuliposema Bandari yetu ni Lulu, wengi hawakuelewa. Tuliposema Taifa letu halipaswi kuwa "omba omba"...
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni...
Yericko,
Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu...
Yericko,
Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu...
Ritz,
1. Kwanza ni vema ujue upotoshwaji, uwongo na fitna hizi zinagusa siyo tu Chadema, bali zinahusisha Taasisi ya KAS. Hivyo uwongo wowote una athari ya kuwastusha na kuwachafua pia marafiki zetu wa KAS.
2. Kwa bahati mbaya, hata katika miradi yetu inayopata support kutoka KAS, fedha...
Lizaboni,
Ninapenda kukupa Challenge. Na iwapo hutaweza kutoa ushahidi wa jinsi Mbowe, Slaa na Komu wanavyogawana hizo fedha toka KAS kila mwezi, ni dhahiri tukikuita mwongo, mzushi, mchonganishi.
Ninataka Lizaboni atoe hapa ushahidi wa KAS kutoa fedha chadema kwa malengo aliyotaja, japo...
WanaJF,
Awali ya yote Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana Father Wootherspon, kwa kutengeneza nchi yetu, na hasa kutembelea baadhi ya Familia za Vijana wetu waliofungwa kwenye magereza mbalimbali za HongKong na China. Mwenyezi Mungu amrudishie Maradufu kwa Upendo, huruma na ukarimu...
Mitula na Wana JF,
Asante kwa Taarifa. Napenda ku wahakikishie kuwa maandalizi ya Wagombea yanaendelea vizuri. Ni kweli aliyekuwa Katibu wa Tawi la Sauna alihamia CCM, lakini Viongozi wengine wote wa Tawi wako. Ninavyoandika sasa hivi Fomu zinatawanywa na Utaratibu unaendelea katika hatua mbali...
Adolay,
Nnakuunga mkono mia kwa mia. Mataifa huangamizwa na mtu moja au kundi la watu wachache kama hao.
Natoa mfano wa Makonda, ambaye 2010 alikuwa Messanger wa Samuel Sitta wakati alipokuwa akijadiliana na Chadema kuwa Mgombea Urais wa Chadema, baada ya CCJ kushindikana.
Namshangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.