Najua yamkini wewe ni mshabiki wa ccm, vizuri. Lakini hebunishawishi katika hili. Mie sioni sababu ya ushabiki wako, labda kwanini magufuli awe ndo mpamgo mzina???? Huu sio wakati wa chama tawala kutupa ahadi, kwamba waanze kusema tutafanya hiki na kile.... Kwanini hawajaffanya ayo wanayoahidi...