Slaa ni mnafiki tu! wamezunguka nchi nzima sio kutoa elimu ya katiba kwa wananchi bali ni kuwashawishi wananchi wafate itikadi ya chama chao leo asitudanganye kuwa wazo la serikali tatu sio la chadema huo ni uongo
Semea nafsi yako sio wananchi wote wanataka kura ya siri mimi binafsi kura ya siri sioni kama ina mantik yoyote ktk kupitisha katiba hao wajumbe walioko bungeni kila mtu ana interest zake sio ccm tu hata cdm hao mnaowasikiliza hakuna anaetafuta katiba ya wananchi pale wote wanafiki tu! lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.