Recent content by Dr Nickname

  1. D

    JamiiForums Tanzania tuanze mwaka vyema

    hello Jf Ni fursa nyingine tena tumepewa ili tuishi kwa faida hapa duniani, hili ni jema kw Mungu na hata kwa wanadamu. Natambua zinaweza kuweko sababu mbalimbali tunazoweza kujustfy-kwa nini tule sikuu hii sisi pekee yetu na familia zetu. Ila nasikia kukuhamasisha, hebu tuanze mwaka huu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Yesu

    Shalom wana JF Niungane na waumini wenzangu duiani pote kushukuru kwa uhai nilio nao, coz najua wengi hawajapata fursa ya kua hai hadi sasa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuhitimisha mwaka huu. kwa sababu mbalimbali wengine wapo katika hali zenye maumivu na majonzi mengi, wakati mimi ni mzima wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    si bure unaweza kuwa unanufaika na utumwa huu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    this is what we say mental slave Mungu ni roho, anazitaka cash money for what? dini ni mfumo unaoongeza utumwa katika maisha ya watu, mtu huyu awajibike kwa serikali, pia awajibike kwa kanisa, pia awajibike kwa familia yake na jamii inayomzunguka....came on......katika mazingira haya ya deficity...
Back
Top Bottom